John Kisaka
Japanese Franciscan monk and martyr

John Kisaka

The basics
Quick facts
Intro
Japanese Franciscan monk and martyr
Gender:
Male
Places:
Work field:
Death:
1597
Religions:
Biography menu
Menu

Jump to

Introduction Tazama pia Tanbihi
The details
Biography

Introduction

Yohane Kinuya alikuwa Mkristo wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko aliyefia dini nchini Japani (1597).

Dhuluma dhidi ya Wakatoliki zilipozidi, yeye na wenzake 25 (mapadri na watawa 8 na walei 17) walikamatwa, walitukanwa na kuteswa vikali, na hatimaye wakasulubiwa huko Nagasaki tarehe 5 Februari mwaka 1597, huku wakifurahia neema ya kuuawa namna ileile ya Yesu.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake na ya wafiadini wenzake huadhimishwa kila mwaka tarehe 6 Februari.

Tazama pia

  • Watakatifu wa Agano la Kale
  • Orodha ya Watakatifu Wakristo
  • Orodha ya Watakatifu wa Afrika
  • Orodha ya Watakatifu Wafransisko

Tanbihi

  1. Kati yao Paulo Miki, Yohane wa Goto na Yakobo Kisai walikuwa Wajesuiti; Petro Baptista, Martino wa Kupaa na Fransisko Blanco, walikuwa mapadri wa shirika la Ndugu Wadogo Pekupeku; Filipo wa Yesu, Gonzalo Garcia na Fransisko wa Mt. Mikaeli walikuwa mabradha wa shirika hilohilo; Leo Karasuma, Petro Sukejiro, Kosma Takeya, Paulo Ibaraki, Tomaso Danki, Paulo Suzuki walikuwa makatekista Wajapani; Ludoviko Ibaraki, Antoni wa Nagasaki, Mikaeli Kozaki na mwanae Tomaso, Bonaventura, Gabrieli, Matia, Fransisko wa Meako, Yohakimu Sakakibara na Fransisko Adaukto walikuwa Wakristo wapya.
  2. Martyrologium Romanum