

Kosma Takeya
The basics
Quick facts
The details
Biography
Introduction
Kosma Takeya alikuwa Mkristo wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko aliyefia dini nchini Japani (1597).
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake na ya wafiadini wenzake huadhimishwa kila mwaka tarehe 6 Februari.
Tazama pia
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kosma Takeya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |