Gabrieli wa Ize

Gabrieli wa Ize

The basics
Quick facts
Biography menu
Menu

Jump to

Introduction Tazama pia
The details
Biography

Introduction

Gabrieli wa Ize alikuwa Mkristo wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko aliyefia dini nchini Japani (1597).

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake na ya wafiadini wenzake huadhimishwa kila mwaka tarehe 6 Februari.

Tazama pia

  • Watakatifu wa Agano la Kale
  • Orodha ya Watakatifu Wakristo
  • Orodha ya Watakatifu wa Afrika
  • Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gabrieli wa Ize kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.