Foby
Tanzanian musical artist

Foby

The basics
Quick facts
Intro
Tanzanian musical artist
A.K.A.
Fobby
Gender:
Male
Places:
Birth:
2 December 1992(Iringa, Iringa Region, Tanzania)
Star sign:
Biography menu
Menu

Jump to

Introduction Elimu na maisha ya awali Muziki Tanbihi Viungo via nje
The details
Biography

Introduction

Frank Ngumbuchi Felix (alizaliwa 2 Desemba 1992 (1992-12-02) (umri 31), katika Hospitali ya Mbesa Mission kwenye kijiji cha Mbesa, Mkoa wa Ruvuma, Tanzania) ni mwanamuziki wa Bongo Flava, lakini pia ni mtunzi wa mashairi na muandaaji wa ala za muziki.

Elimu na maisha ya awali

Foby alisoma shule ya msingi Mbesa kuanzia awali mpaka darasa la saba na baadaye alichaguliwa kujiunga na elimu ya sekondari katika shule ya Mbesa Sekondari ila baadaye alihamia katika shule ya kijeshi ya Ruhuwiko. Akiwa shuleni kupitia vipaji vyake vingine alijizolea umaarufu na kutwaa tunzo kupitia mchezo wa mpira wa miguuna Sarakasi, alinyakua vikombe kadhaa kwa ngazi ya mkoa, wilaya, kata na shule.

Muziki

Rasmi Foby alianza muziki akita bado shuleni, ambapo alikuwa ana tumbuiza kila jumapili kwenye siku ya sanaa, Foby alikuwa akipendwa zaidi kwa sababu ya vipaji vyake, alikuwa akicheza sarakasi, mpira na muziki. Wakati akiwa shule alipata ajali akiwa mchezoni na alivunjika mguu, hapo ndo ikawa mwisho wa ndoto yake kuwa mchezaji wa mpira wa miguu. Mwaka 2006 ndio mwaka aliingia rasmi kwenye sanaa ya muziki. Alianza kwa kutunga mashairi na kuwapa wasanii wengine, mfano "Madame hero" ya Hamissa Mobetto, "Sitanii" ya Banana zoro, "Mimina

Jina la limbo msanii
Madame hero Hamissa Mobetto
Sitanii Banana zoro
Nandy
Selena
Mimina Gigy Money

Tanbihi

  1. "Muziki Ijumaa - Foby mwanamuziki, mtunzi anaetusua na wimbo wake Ng'ang'ana". RFI. 2018-02-14. Iliwekwa mnamo 2020-05-13.
  2. "Foby Releases New Song 'Punguza' - News | Mdundo.com". mdundo.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-05-13.
  3. "Jinsi Foby alivyopata 'demu' kiulaini | East Africa Television". www.eatv.tv (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-05-13.

Viungo via nje