

Tanzanian Nurse and Head Nurse of Kibong'oto Hospital
Atanasia Karoli
The basics
Quick facts
Intro
Tanzanian Nurse and Head Nurse of Kibong'oto Hospital
Gender:
Female
Places:
Work field:
Birth:
1966(Kilimanjaro Region, Tanzania)
Education:
Muhimbili University of Health and Allied Sciences
Dar es Salaam, Dar es Salaam Region, Tanzania
Employers:
Kibong'oto Hospital
Siha District, Kilimanjaro Region, Tanzania
Family:
Siblings:
Irene Tarimo
John MrossoRelatives:
The details
Biography
Introduction
Atanasia Karoli (alizaliwa Kilimanjaro, Tanzania) ni Muuguzi mkuu wa hospitali ya Rufani ya taifa ya magonjwa ambukizi ya Kibong'oto nchini Tanzania.Pia aliteuliwa kuwa mjumbe wa timu ya uendeshaji katika hospitali maalumu ya tiba ya magonjwa ambukizi Kibong'oto wilayani Siha mkoa wa Kilimanjaro.
Marejeo
- ↑ University, Suez Canal. "Tanzania and Egypt in a joint cooperation protocol between the two sides.", List Members, Suez Canal University, Ismailia, Egypt., 16 June 2015.
- ↑ Infectious Diseases Hospital, Kibong'oto [@OtoKibong] (11 Februari 2022). Mkurugenzi wa Hospitali Maalum ya Tiba ya Magonjwa ambukizi Kibong’oto Dkt.Leonard Subi akiwa na Katibu wa Afya Bi.Bernada Msase na Muuguzi Mkuu wa Hospitali Bi.Atanasia Karoli wakati wa kikao cha Wafanyakazi wa Hospitali maalum ya Magonjwa ambukizi Kibong’oto..
- ↑ Kibong'oto yawataka watumishi wake kufanya uchunguzi wa afya zao (sw) (21 Oktoba 2021).
- ↑ Kibong'oto kutoa chanjo ya homa ya ini kwa watumishi (sw) (23 Oktoba 2022).
- ↑ Muuguzi Mkuu apokea zawadi kutoka Kampuni ya Bonite Bottlers Kilimanjaro, ambayo imetoa zawadi ya Krismasi na Mwaka mpya 2019 kwa wagonjwa wa Hospitali ya magonjwa ambukizi Kibong’oto 11 Januari 2019
- ↑ Kibong'oto, Hospitali ya [@OtoKibong] (7 Mei 2022). Mkurugenzi Mkuu wa NIMR Tanzania na Mkurugenzi wa NIMR tawi la Mbeya ambaye pia ni mjume wa Bodi ya Ushauri ya Hospitali Maalum ya Tiba ya Magonjwa Ambukizi Kibong'oto wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa timu ya uendeshaji ya Hospitali..
- ↑ Napambana na kifua kikuu, jiunge nasi sasa. (sw).
- ↑ Historia ya Udhibiti wa Kifua Kikuu Ulimwenguni ikijulikana kupitia Kumbukumbu za Ndani (en). Jalada kutoka ya awali juu ya2020-07-14. Iliwekwa mnamo2023-06-05.